Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Naandika tabia nilizoziona humu kwa members wa Jf ambao ni wakazi wa Dar na ambao ni wakazi wa mikoa mingine tofauti na Dar
. Members wa Dar
1. Wanawadharau sana wale wamikoani
2. Wanaamini dar ndo kila kitu
3. Huwa wanadhani Jf ni ya wakazi wa dar tu
4. Wanaamini members wa mikoani ni washamba sana kuliko wao
Members wa mikoani
1. Wanaamini wanaume wa dar ni wazembe sana hawawezi kufanya kazi ngumu
2. Wanaamini asilimia kubwa ya wasichana wa dar ni body-seller
3. Wanaamini asilimia kubwa ya wanaume wa dar hawana nguvu za kiume hadi waji-boost na pweza+viagra
4. Wanaamini dar ni sehemu ya wahuni kiasi kwamba ukiingia unapaswa kuingia na akili tabia utazikuta hukohuko
Hii ni battle kila mtu anavutia kwake ila sio mbaya tukiambiana ukweli ongeza tabia ambazo unaona members wa dar au wa mikoani wanazo mwisho tutapiga kura nani kazidi kwa tabia za hovyo