JF members wenye kingereza kizuri

JF members wenye kingereza kizuri

Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Hapo kuna mmoja sina imani nae hajakomaa sana kuzungumza mbele ya mhadhara
 
Naona tunapimana imani kijanja janja tuanze kutema tensi za whom one, which na where

mkuu kausha bana, tusije umbuana kwa hii lugha maana wengine mpaka tulewe ndo kinakujaga.
 
Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr
Hiyo list wana uwezo hata wa kuhutubia bunge la Congress bila kusoma popote,na wewe unaweza kuongezea idadi.
,
Tunaomba waanze kuandika thread zao ndefu kwa kiingereza ili tuwafanyie assessment, siyo mistari miwili tu ....Yes Yes Yes.... Tayari wanajua.
 
Back
Top Bottom