Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahonda kama huyo kwenye avatar ni ww ngoja nimalize kuvuna maharage na mihogo yangu nitakutafuta. Naona unanifaa kwa matumiziHahahaahhahahaahahahahaha
Warmly welcome
upogo besti?Wewe ni version ipi??
I feel like there is something you need to tell me...Utakua kama kinyonga si ndio??
Unabadilika Badilika wewe
Amekutaja kwenye new version ndo nikamwambia wewe ni wa long time kitambo humuSijakuelewa dota.
Saint Ivuga njoo huku mahondaw anakuita new version eti hahahaha....
Hahaha Daby yani ulinirithisha mwaka 2008.Ivuga still anatumia I'd ya 2008 (ila hii nilimrithisha). Sasa umemweka sehemu moja na mtu aliyeingia 2016 Dec.
Ila hata mimi wa 2014 kuniweka new version na 2017 duuh
2006-2010.
2011-2014.
2015- update
Ahaaaa.. Hapo mahondaw nimekuelewa..Hahaha
Namaanisha kutamba MMU mpaka sasa
Kuna members yani ukiingia tu Huwezi wakosa
Jambo totoAmekutaja kwenye new version ndo nikamwambia wewe ni wa long time kitambo humu
Amekutaja kwenye new version ndo nikamwambia wewe ni wa long time kitambo humu
Shikamoo kakaJambo toto
Wana chitchat!
Iko wapi Jf ya enzi hizo??? iko wapi MMU ya enzi hizo??
Jf ya kina
Excel
REALITY
Watu8
mzabzab
Eiyer
Descartes
Miss Neddy
utafiti
masai dada
arusha one
Nawengineo utawaongezea
Kuna kipindi Kuna majukwaa ilikua ukiingia tu palikua pamotooooo mpaka raha kama MMU
MMU ilibamba mnooo enzi fulani hivi hapa kati
MMU OLD VERSION
Lara1 -sio huyu wa sikuhizi sijui amekuaje yani hata hachambi watu wima
Heaven @on Earth - huyu anapatikana kwa nadra sana sikuhiz
Evelyn SALT- huyu bado yupo kwenye gemu ananifurahishaga sana majibu yake walahi ila sikuhizi naona kama amepunguza makeke sijui kwanini majibu yake tu mi naiona siku
miss @Neddy amepotea sana sijui nani kamficha
miss chagga juzi jana na Leo bado analisongesha ligi ila huyu sikuhizi amekua mkubwa lakini anaongea points sana kuna ushauri ukisoma huwezi amini kama niyeye
Dinazarde - bado anatamba sana ila sikuhizi utamkuta sana kuleeeee na salt na warumi
Nyani @Ngabu - alikua na ligi moja na kubwa la maadui ilikua mattatta uliepitwa ulikosa uhondo. Ana kiingereza chake fulani akiongea unaeza usiambulie kitu
Matola wapi sikuhizi Umekua adimu sana nakumbuka sana jamani ulinifundisha kummention mtu kuquote navingine.
Asprin babu yupo kwenye miaka ya nyongeza huyu mwenzie DARKCITY sijui kaenda wapi
MMU INTERMEDIATE VERSION
Nokia83
lin
mahondaw
Heaven sent mamaa wa upako alikuepo na anaendelea kuwepo
Smart911. Huyu hata simuelewagi huyu
badili tabia
MMU NEW VERSION
espy
Numbisa
jje's
STUNTER
Daby
saint @Ivuga
joanah
emmyta
B40
usser
miss NATAFUTA
Shunie
Qurie
@Gorniverous
Nawengine weeengi ongezea na toa salamu zako
Jamani I missed the old version kwakweli though Kila moja ina ka utamu Kake
Love you all.
Nawasalimu tu
Mkuu tukiandamana tutakuwa tunampa kichwa mleta Uzi hapa kumkomoa usiende kutafuta hela wiki mzimaNaandaa mandamano ya Amani kupinga list hii ya Mahondaw ya kukurupuka. wale wote ambao wameachwa tukusanyike na vyeti vyetu.
Asee hii nchi bure kabisa hata ndani ya JF mambo yaleyale.