L Londonboi Member Joined May 5, 2024 Posts 40 Reaction score 56 Nov 25, 2024 #1 Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
Gatabhanya JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 2,644 Reaction score 5,178 Nov 25, 2024 #2 Watapata zawadi?
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Nov 25, 2024 #3 wa tyla ndo umesumbua sana kwangu sio mzuri, lakini ukweli usemwe
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Nov 25, 2024 #4 Ila unahangaika ndugu!
L Londonboi Member Joined May 5, 2024 Posts 40 Reaction score 56 Nov 25, 2024 Thread starter #5 Nyamwi255 said: Ila unahangaika ndugu! Click to expand... Wengine mziki ndio kazi zetu
B Bando la wiki JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 911 Reaction score 3,017 Nov 25, 2024 #6 Ngoja tuone
Darkhorse001 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 306 Reaction score 538 Nov 25, 2024 #7 Kwamba ni nyimbo za nje ya Tz tu 😂
TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,345 Reaction score 6,970 Nov 25, 2024 #8 SIFAHAMU HATA WIMBO MMOJA HAPA!
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Nov 25, 2024 #9 Wanamuziki wa Tanzania hakuna hata mmoja? Weka watizii nipigie kura yangu
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Nov 25, 2024 #10 TUKANA UONE said: SIFAHAMU HATA WIMBO MMOJA HAPA! Click to expand... Hakika!