JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

Saveya

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
2,333
Reaction score
2,338
Habari za asubuhi wana jf, Kama utaratibu wetu wa utafutaji na kwenda kwenye mishe mishe (,kazi,shuleni,sokoni nk )

Tuungane kuelezana Kama unasafiri kwenda mishe mishe,Mimi binafsi Niko kwenye daladala natoka mabwepande kuelekea makumbusho kwenye kuangalia vibarua.

Wewe uko wapi ? Unaenda wapi !
 
Back
Top Bottom