JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

Nipo kwenye Noah natoka Hedaru-Makanya-Same, nishamaliza kuuza "mabungo" yangu..
 
Naelekea ufipa kwenda kukinukisha
Mkuu ww mwanaccm mwezangu sikushauri uende huko, vijana waUFIPA ni hatari watakunyonya NEEMA ZA ALLA pale hata BASHITE aendi labda ungekuwa huna hzo neema kama slowslow. Ila ninavyokujua usisogee
Mr Chichiem
 
Ndani ya daladala jioni hii ni muda sasa wa wengi wetu wana jf tunaotoka makazini,mishemishe,shuleni,vyuoni nk tunarudi majumbani kwetu baada ya kazi za siku nzima, tuambie unarudi kutoka wapi na unaenda wapi !
 
Pitia hapa tarime town utanikuta beibe,,nipo maeneo ya gold land
Oooh nimechelewa kuona hii comment yako, sasa hivi niko kwenye daladala narudi zangu Nyamongo maana nimekosa kibarua nilichokuwa nakifukuzia.
 
Dah...ndani ya mwendo illiyojaa sana naelekea Kimara...kwa kifupi nipo kazini...mniombee [emoji41]
 
Back
Top Bottom