Karibu pamekuwa town sanaNlikaa Kihesa njiapandavya Mtwivila back 2008
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu pamekuwa town sanaNlikaa Kihesa njiapandavya Mtwivila back 2008
Hiyo inayokuja panda utaniona nimekaa nyuma kabisaUkifika kilala nistue niko hapa nasubiri gari
PikA,nakuja kulaNatoka Mbagala naelekea kivukoni kununua samaki.
Hahahaha kakawaida tu mkuuKasafari karefu
Hii ni chai ya rangi au ya maziwaNatembea kwa mguu gongo la mboto to k.koo
Pitia hapa tarime town utanikuta beibe,,nipo maeneo ya gold landNatokea Nyamongo kuelekea Tarime, naenda kutafuta kibarua huko.
Kaone kalivyo karoho samaki wa biashara natembeza mitaaniPikA,nakuja kula
Nipo nyuma ya siti yako ngoja nikuchumuNatoka Mbagala naelekea kivukoni kununua samaki.
Hebu nisaidie pilipili za kupika hapo mwaloniNatoka Mbagala naelekea kivukoni kununua samaki.
HahahahNipo nyuma ya siti yako ngoja nikuchumu
Posta kuna mwaloniHebu nisaidie pilipili za kupika hapo mwaloni
[emoji8][emoji8][emoji8]Hahahah
Hii ni chai ya rangi au ya maziwa
Goba mpakani to mjini
nyuma dalala limeandkwa
"ukishindwa kunyamaza basi kunyafaza"
misemo ya ajabu kweli
Ahaha ahaha io sio daladala tenaNipo buhongwa naelekea kariakoo
Kapala msenga???Jembe begani na upanga mkono wa kushoto..nipo Kigoma kusini huku naelekea shamba kupanda..mahindi