Na smatfon umeshikia niniJembe begani na upanga mkono wa kushoto..nipo Kigoma kusini huku naelekea shamba kupanda..mahindi
Naam kilimo ndiyo uti wa mgongoJembe begani na upanga mkono wa kushoto..nipo Kigoma kusini huku naelekea shamba kupanda..mahindi
Akikujibu nitagNa smatfon umeshikia nini
Walii ni ni ni ?Kitunda moja iyo naelekea Tandika kwa walii mmoja hivi tukayajenge
Hongera sana kiongozi kwa ujenziNimetoka kibugumo naelekea Kimbiji Site
Mjini posta auGoba mpakani to mjini
nyuma dalala limeandkwa
"ukishindwa kunyamaza basi kunyafaza"
misemo ya ajabu kweli
K/koo maybe...Mjini posta au
Walii ni ni ni ?
Chai..nainywa bila mkateNatoka Mbagala naelekea kivukoni kununua samaki.
Wasalimie wameru aka wajomba zanguNatoka Kikatiti naenda Tengeru sokoni kufanya mishe zangu 🙇