Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli kabisa Evelyn, mimi mara ya kwanza kabisa kujua jf mi 2010-2012.Jf ya zamani ilikua na michango ya maana sana, uzuri historia hazifutiki search thread za miaka hiyo 2008 huko watu walikua wanamichango ya kujenga sana...... Hata kama kulikua na masikhara ila ustaarabu ulizingatiwa.
Sio ya sasa ya kina ichwa nini sijui disgusting!!
Changamoto nyingine ninayo iona kulingana hoja yako hii ni wale wanachama wa zamani kufungua I'd mpya na kujitoa ufahamu, sambamba na wapya ambao utashi wao ni mdogo kulingana na aina ya wanachama wa mtandao huu.Tofauti ipo.
1. Sasa hivi kuna vichaa wengi wamejiunga humu. Utawatambua kwa comments zao.
2. Watoto pia wamejaa humu. Kama wewe ni mtu mzima Uandishi wa kitoto utaujua tu. Zingatia neno utoto
4. Mods nao nahisi ni hawa wapya- baadhi yao wana mambo ya hovyo; mfano kufuta baadhi ya comments au threads ambazo wala hazina ubaya wowote. Zamani JF ilikuwa kweli "Where we dare to talk openly"
5. Mengine wakongwe wengine wataongezea
Hiyo ya ulozi ni part Time job😀😀😀 labda ulozi,😂
Kweli kabisa ndugu yangu, japo jana hatuwezi kuilinganisha na leo , kuna ya jana yalikua bora kuliko ya leo pia kuna ya leo ni bora kuliko ya jana.Iko kwenye kiwango bora zaidi kwasasa naweza kukiri hilo
Nadhani hili lilikuja kudhibitiwa.. Ukimshinda mtu kwenye hoja moja anakurudia kwa ID mpya.. Ama ID moja ni mwanao sana halafu anafungua ID nyingine ya kukunangaChangamoto nyingine ninayo iona kulingana hoja yako hii ni wale wanachama wa zamani kufungua I'd mpya na kujitoa ufahamu, sambamba na wapya ambao utashi wao ni mdogo kulingana na aina ya wanachama wa mtandao huu.
Aisee Bora kabisa😂Nilishakimbia huo ulimwengu Dr.
Nimeandika yote pengine hajasoma, ila mengi pia bado sijaelezea
Kwa ukubwa wao sasa wao JF na kipindi ilichopitia bado nadhani inastahili pongezi hasa hasa kwakuwa chanzo cha habari za kuaminika na kuaminiwa na hata mataifa rafikiUmeongea ukweli kabisa Evelyn, mimi mara ya kwanza kabisa kujua jf mi 2010-2012.
Nilifungua account hio 2012 kwa msukumo wa hoja zilizokuwa zinawasilishwa wakati huo, ukweli hoja nyingine zilikua juu ya upeo wangu lakini niliona kabisa Jf ni sehemu ninayoza kupata nilicho kikosa kwenye mfumo rasmi wa elimu, na kweli nilipata.
Mimi binafsi kwa asili sio muongeaji sana au wa kujichanganya sana ila ni mpenzi sana wa kusoma, hii platform ilikua ni ndani ya mapendeleo yangu ya kusoma, hivyo ikanijengea uraibu mpaka kesho siwezi kua nje ya jf.
Shida ilianzia pale 2015, siasa za majitaka kupondana , u chadema na u ccm mapenzi na mahusiano ilizalisha wanachama wengi ambao ndio tulio ingia naao 2020 kuja huku tulipo ambapo tuweza kusema kumeharibika sana au kuhitimisha kusema jana ni nzuri kulio leo.