Kuna kipindi JF ilikuwa hot kulikuwa na wanyange hatari...hawa walikuwa mauaridi ya jukwaa...ikafika mahali kukawa na miss JF
Halafu kikapita kipindi cha mpito...wengi wakabebwa zikawa ni ndoa kila pahala! Mashemegi mawifi bankwe na mamkwe, halafu michepuko ikaanza ndoa nyingi zikavunjika na talaka saba juu...ikabaki ndoa ya mshana jr pekee [emoji106] [emoji8] makofi tafadhali...!
Tuko kwenye new Era..! JF ng'are ng'are inarejea kwa kasi siku hizi kuna vyombo hatari...kuna haja ya kuirudisha miss JF