JF ng'are ng'are

JF ng'are ng'are

bila shaka umeshamjua Amavubi
5a4d2a019a077c12bcc17c27d1ce44e6.jpg
 
nimetoa jicho kumuangalia Wife Jimena lakini simuoni... Mchepuko wangu miss CHAGA siuoni pale... Sema Nimemuona Mrs NN
Hivi swala la mi kuwa mkeo mahari kala nani, na hiyo ndoa imefungiwa wapi jamani hadi mhusika sijui?
Naona unafanya harakati za kuwa na mke na mpenzi mmoja muaminifu
 
Hivi swala la mi kuwa mkeo mahari kala nani, na hiyo ndoa imefungiwa wapi jamani hadi mhusika sijui?
Naona unafanya harakati za kuwa na mke na mpenzi mmoja muaminifu
wewe ni wangu hata mwisho wa dunia ntakusubiri nikupeleke kwetu Tanga
 
Back
Top Bottom