MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
Hivi taratibu za kuongeza mke zipoje[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhhhh!!!..... Sawa mkuu, kweli zile topic ni hatari sana kwa mwezi huu wa Ramadhani!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baada ya Pasaka kaka nipo kwenye mfungo
ila hawakufikii wewe mwaya!Wazuri
Uzee umeniajia vibaya mbinu za vijana kaka siziwezi ingawa"the blind sheep can stumble to the pool of water"ila kamari muhali hiyo.Ila vingine vina haki na hati miliki hivyo nenda kwa tahadhari
Wewe uko wapi hapo sasa?Wazuri
Ila mi ni mtamu halafu niko very much adictive kama ungafanya uje haraka
Kwa nilivo na lisura la ajabu hata camera haikubali kwanguWewe uko wapi hapo sasa?
Mimi huyo wa katikati ndio kanimaliza(cheusi dawa) halafu ndio hao wawili uliowataja.Huyo wapili na watatu kutoka kulia kwa kweli nimewaelewa
View attachment 330270
hahahaha naona unampa makavu.Hivi swala la mi kuwa mkeo mahari kala nani, na hiyo ndoa imefungiwa wapi jamani hadi mhusika sijui?
Naona unafanya harakati za kuwa na mke na mpenzi mmoja muaminifu
Mkuu miss chagga ndio yupi sasa hapo?Nimependa tabasamu la misschaga
Sio mchezo kuna mabinti mazuri aiseeMimi huyo wa katikati ndio kanimaliza(cheusi dawa) halafu ndio hao wawili uliowataja.
wewe ni wangu hata mwisho wa dunia ntakusubiri nikupeleke kwetu TangaHivi swala la mi kuwa mkeo mahari kala nani, na hiyo ndoa imefungiwa wapi jamani hadi mhusika sijui?
Naona unafanya harakati za kuwa na mke na mpenzi mmoja muaminifu