JF ng'are ng'are

JF ng'are ng'are

9b0d3d8a119443f0005961308587e47a.jpg
Kuna kipindi JF ilikuwa hot kulikuwa na wanyange hatari...hawa walikuwa mauaridi ya jukwaa...ikafika mahali kukawa na miss JF
Halafu kikapita kipindi cha mpito...wengi wakabebwa zikawa ni ndoa kila pahala! Mashemegi mawifi bankwe na mamkwe, halafu michepuko ikaanza ndoa nyingi zikavunjika na talaka saba juu...ikabaki ndoa ya mshana jr pekee [emoji106] [emoji8] makofi tafadhali...!
Tuko kwenye new Era..! JF ng'are ng'are inarejea kwa kasi siku hizi kuna vyombo hatari...kuna haja ya kuirudisha miss JF
4dcc6abfd87b3e3de1340342c346be6d.jpg

Hapa Miss Chaga ndo yupi?
 
Humu kumbe pana vyombo!hapajachacha ila tatizo kupeana ngumi za uso kwa umri wangu huu bora kula kwa macho.Ndoa rasmi na zisizo rasmi inaonekana nyingi humu achilia mbali juu kwa juu nakili kumkichwa ukilemaa umeachwa kwenye soko la jodari kama sio kibua.
 
Ila vingine vina haki na hati miliki hivyo nenda kwa tahadhari
 
Back
Top Bottom