Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Usinifanyie hivyo basiHabari ndio hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinifanyie hivyo basiHabari ndio hiyo
Kuna kipindi JF ilikuwa hot kulikuwa na wanyange hatari...hawa walikuwa mauaridi ya jukwaa...ikafika mahali kukawa na miss JF![]()
Halafu kikapita kipindi cha mpito...wengi wakabebwa zikawa ni ndoa kila pahala! Mashemegi mawifi bankwe na mamkwe, halafu michepuko ikaanza ndoa nyingi zikavunjika na talaka saba juu...ikabaki ndoa ya mshana jr pekee [emoji106] [emoji8] makofi tafadhali...!
Tuko kwenye new Era..! JF ng'are ng'are inarejea kwa kasi siku hizi kuna vyombo hatari...kuna haja ya kuirudisha miss JF
![]()
Bila hela wala simwambiiUsinifanyie hivyo basi
[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji389] mzigo huoBila hela wala simwambii
Haya... Mshana njoo toa namba huku[emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji389] mzigo huo
Hapo atakuja maanaHaya... Mshana njoo toa namba huku
Lazima aje usikondeHapo atakuja maana
Ngoja niwe mpoleLazima aje usikonde
khee umepata hela ?
Pensheni imetemakhee umepata hela ?
fanya uje harakaPensheni imetema
Ila vingine vina haki na hati miliki hivyo nenda kwa tahadhariHumu kumbe pana vyombo!hapajachacha ila tatizo kupeana ngumi za uso kwa umri wangu huu bora kula kwa macho.Ndoa rasmi na zisizo rasmi inaonekana nyingi humu achilia mbali juu kwa juu nakili kumkichwa ukilemaa umeachwa kwenye soko la jodari kama sio kibua.