JF ng'are ng'are

acha kung'ata kucha na kutafuna vidole njoo kwa mtoto wa Kitanga uonjeshwe shalubati ya mafenesi
Tanga sijii asilani, kwake nimefika kiufupi nimekufa nimeoza
 
Tanga sijii asilani, kwake nimefika kiufupi nimekufa nimeoza
aliye kufa hasemi wala hapumui.. Njoo kwangu kabla sijaufunga mlango.. Nimezaliwa kwa Ajili ya Kukupenda ndio maana nazungumza hapa Hadharani na sio kule pm
 
aliye kufa hasemi wala hapumui.. Njoo kwangu kabla sijaufunga mlango.. Nimezaliwa kwa Ajili ya Kukupenda ndio maana nazungumza hapa Hadharani na sio kule pm
Tatizo umechelewa sana, moyo wangu kuna mtu anao nimempa wotee
 
mshana jr
Sidhani nimechelewa ila kuuliza si ujinga bali kujua ndiko huko. Huyo wa kwanza kushoto ndo mchawi wa team au ndo kungwi? Mbona mikoba haweki chini?
 
Vimwana ni wazuri kwakweli.sasa mshana jr ungewataja majina yao ili tuwafahamu.
 
Hapa sio kabisa, ibra87 anataka kunioa kwa nguvu sasa vile mi sitaki ukaribu nae acha nisepe, asijeweka malimbwata yake ya huko Tanga anakojisifia
Mtupu tu huyo hayo mambo niulizage mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…