johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani
Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.
Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.
Maendeleo hayana vyama!