Uchaguzi 2020 JF ni kiboko, Tundu Lissu ajibu swali la nani atagharamia kampeni za CHADEMA!

Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
Johnthebaptist napenda sometime huwa unaweka unafiki pembeni. Unampenda Sana Lissu.
 
Kwani mkuu hujui Kama wapo humu JF na tunajadili wote mada mbali mbali humu?
We hushangai unamuuliza mtu swali la kawaida tu humu badala ya kukujibu anakurupuka na mitusi tu, ujue ndio muhusika huyo umemgusa penyewe kapanic.

Wapo wote humu si ccm si CHADEMA so usishangae kajuaje hadi kujibu hilo swali tena hata kwenye huu uzi wako hapa ameshachangia tayari mkuu.
Hata Siro yumo humu anapita pita.
 
Wewe lazima utakuwa na bahasha anakugonga chadema maana kila taarifa ya chadema we wa kwanza
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo ulitegemea aseme kampeni zitagharamiwa na mabeberu?
 
Wanajua majibu anayo Lissu. Lissu akifanya fund raising leo nauhakika hata bil 50 atakusanya. Kwanza matajiri wengi walioumizwa na magu lazima wamchangie

hakuna tajiri alieumizwa ila lazima ufanye biashara kutokana na sheria, ndo maaana huezi kuta tajiri anashabikia chadema, au mfanya biashara yoyote kuanzia mo dewji mpaka roastam , lowasa wote ni ccm sasa sjui unaongelea matajiri hawa ama?
 
Meko anatia huruma sana. Lugha ya ushawishi haiwezi. Sijui atawaambia nini watanzania kama si kutajataja maflyover, masgr, mabombadia, mafensi ya Mererani, mabarabara, mastiglers n.k
 
Mo mliyemteka ili awape bilion 7???? Rostam mliyemkamata kaka yake ili aje kuunga juhudi mkono???

CCM mtajua hamjui mwaka huu nawaambia
 
Meko anatia huruma sana. Lugha ya ushawishi haiwezi. Sijui atawaambia nini watanzania kama si kutajataja maflyover, masgr, mabombadia, mafensi ya Mererani, mabarabara, mastiglers n.k
Badala ya kufanya kampeni ataishia kujichekesha chekesha
Akiona hamcheki ataanza kuwafokea kama ambavyo huwa anavyowafokea wakina Kabudi
 
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
lissu na wanachadema ongera sana nitakupigia kura na bahada ya uchaguzi nitaingia kwa siasa kama mwana chama wa chadema rasmi nakdi nitaichukulia Dodoma kwa mara yakwanza kuletwa duniani na wazazi wangu,mungu awabariki sana baraza kuu bila kusahau makam mgombea urais 2020 mh MWALIM umeongea maneno mazito nikiwa on line pitia mwanahalis on line mpaka machozi yalitoka nanukuu ( nimewambia familia yangu ,mke na watoto wangu , lissu ni mshindi tiyari kazi ya kutangaza matokeo ndo imebaki nitaisimamia kama makam wa rais, nitatangulia kabla ya yeye hajaniagiza, lazima atangatwe…………) HAYA ni maneno mazito katika siasa za tz so nami nasema NDO NDIYE na itakua
 
Back
Top Bottom