Uchaguzi 2020 JF ni kiboko, Tundu Lissu ajibu swali la nani atagharamia kampeni za CHADEMA!

Uchaguzi 2020 JF ni kiboko, Tundu Lissu ajibu swali la nani atagharamia kampeni za CHADEMA!

Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa maana hiyo mwaka huu ruzuku hamna au mimi ndio sijaelewa
 
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani

Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.

Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.

Maendeleo hayana vyama!
Chadema kina wanachama gani? Acha kuamini upuuzi
Watanzania walishajua ni Saccos ya Mbowe na baba yake.
 
Niliposema namuunga mkono Lissu na kuwa wengi ndani ya CCM wanamuunga mkono watu hawakunielewa.

CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu
Mie mwenyewe ni CCM damu ila 2017 nilibadili kabisa upeo wangu wa kisiasa na kuanza kumsupport Lissu.

CCM wengi tuliojitambua mwaka huu tutampigia kura kwa wingi Tundu Lissu na Pia tutazilinda kura zake kuhakikisha hapokwi ushindi wake
 
Wewe ndio CCM pekee angalau unaejielewa hapa jukwaani

Lakini ili ueleweke zaidi huna budi kuunga juhudi za rais wetu mpya Tundu Antipas Lissu na natumaini utalifanyia kazi hilo kwenye sanduku 28/10
Nina wasiwasi na zile kesi 6 bwashee!
 
Wanajua majibu anayo Lissu. Lissu akifanya fund raising leo nauhakika hata bil 50 atakusanya. Kwanza matajiri wengi walioumizwa na magu lazima wamchangie
Tajiri gani apoteze hela kwa mtu ambaye urais atausikia kwenye bomba?
 
Back
Top Bottom