Nasikia kuna self-confessed kichaa ambaye alikwisha kuwa Raisi wa nchi hii-hivto hakuna ajabu tukipata mkichaa mwingine.Bangi mbaya sana!! yaani hapo una raaaaha moyoni ukiamini ipo siku kichaa atakuja kuwa Rais wa nchi!! ha ha ha ha!!
Hakuna watakalomfanya bwashee ondoa shakaNina wasiwasi na zile kesi 6 bwashee!
Johnthebaptist napenda sometime huwa unaweka unafiki pembeni. Unampenda Sana Lissu.Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani
Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.
Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.
Maendeleo hayana vyama!
Hata Siro yumo humu anapita pita.Kwani mkuu hujui Kama wapo humu JF na tunajadili wote mada mbali mbali humu?
We hushangai unamuuliza mtu swali la kawaida tu humu badala ya kukujibu anakurupuka na mitusi tu, ujue ndio muhusika huyo umemgusa penyewe kapanic.
Wapo wote humu si ccm si CHADEMA so usishangae kajuaje hadi kujibu hilo swali tena hata kwenye huu uzi wako hapa ameshachangia tayari mkuu.
Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani
Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.
Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.
Maendeleo hayana vyama!
Ni mmoja wa vijana waliozaliwa na wanaume wa Kenya baada ya waliotegemewa kuwa baba zao kukosa nguvu za kiume!Kule kwa walevi kumbe bwashee🤣😁
Karibu CHADEMA bwashee. Maana naona unafatilia sana habari zetu. Huku demokrasia imesheheni. Hatu-print fomu moja tu ya mgombea urais kama huko kwenu!Bwashee mimi natokea Useri Rombo!
Kwa hiyo ulitegemea aseme kampeni zitagharamiwa na mabeberu?Nitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani
Lissu amesema mwaka 2005 kampeni za Urais ziligharamiwa na wanachama, mwaka 2010 waligharamia wanachama na hata mwaka 2015 alipogombea bilionea Lowassa bado gharama za kampeni zilibebwa na wanachama hivyo hana wasiwasi kuwa na mwaka huu 2020 wanachama wanalielewa jukumu lao.
Ahsante Lissu, JF kweli kiboko.
Maendeleo hayana vyama!
Wanajua majibu anayo Lissu. Lissu akifanya fund raising leo nauhakika hata bil 50 atakusanya. Kwanza matajiri wengi walioumizwa na magu lazima wamchangie
Wewe ni mnyampaa tuBwashee mimi natokea Useri Rombo!
😂😂😂Damu ni nzito kuliko maji huyu johnthebaptist ni mnyaturu mwenzie
Mwaka huu sijui watawaua wakina Akwilina wangapi, wauawaji hawa.Jamaa anamkubali sana Lissu. Nina uhakika as long as kura ni Siri lazima October pale aweke tiki kwa Lissu
Enough is Enough. Watuue wote kama wanaweza huku Amsterdam Law Firm wakikusanya ushahidiMwaka huu sijui watawaua wakina Akwilina wangapi, wauawaji hawa.
Mo mliyemteka ili awape bilion 7???? Rostam mliyemkamata kaka yake ili aje kuunga juhudi mkono???hakuna tajiri alieumizwa ila lazima ufanye biashara kutokana na sheria, ndo maaana huezi kuta tajiri anashabikia chadema, au mfanya biashara yoyote kuanzia mo dewji mpaka roastam , lowasa wote ni ccm sasa sjui unaongelea matajiri hawa ama?
Badala ya kufanya kampeni ataishia kujichekesha chekeshaMeko anatia huruma sana. Lugha ya ushawishi haiwezi. Sijui atawaambia nini watanzania kama si kutajataja maflyover, masgr, mabombadia, mafensi ya Mererani, mabarabara, mastiglers n.k
lissu na wanachadema ongera sana nitakupigia kura na bahada ya uchaguzi nitaingia kwa siasa kama mwana chama wa chadema rasmi nakdi nitaichukulia Dodoma kwa mara yakwanza kuletwa duniani na wazazi wangu,mungu awabariki sana baraza kuu bila kusahau makam mgombea urais 2020 mh MWALIM umeongea maneno mazito nikiwa on line pitia mwanahalis on line mpaka machozi yalitoka nanukuu ( nimewambia familia yangu ,mke na watoto wangu , lissu ni mshindi tiyari kazi ya kutangaza matokeo ndo imebaki nitaisimamia kama makam wa rais, nitatangulia kabla ya yeye hajaniagiza, lazima atangatwe…………) HAYA ni maneno mazito katika siasa za tz so nami nasema NDO NDIYE na itakuaNitumie fursa huu kumshukuru mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kujibu swali nililouliza hapa jukwaani