Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Kuna kichaa kuliko babu yako huyo??Bangi mbaya sana!! yaani hapo una raaaaha moyoni ukiamini ipo siku kichaa atakuja kuwa Rais wa nchi!! ha ha ha ha!!
Mo mliyemteka ili awape bilion 7???? Rostam mliyemkamata kaka yake ili aje kuunga juhudi mkono???
CCM mtajua hamjui mwaka huu nawaambia
Wenye maduka ya kubadili pesa za kigeni waliotolewa kazi kisa vyeti kisha Daudi Bashite akabakia akiwa hana vyeti, wahindi waarabu waathirika wote wa utawala huu wa kupenda kesi kesi haramu za kuwakomoa watuWanajua majibu anayo Lissu. Lissu akifanya fund raising leo nauhakika hata bil 50 atakusanya. Kwanza matajiri wengi walioumizwa na magu lazima wamchangie
Mbowe alipigwa na Lijuakali akiwa na Msukuma walivaa mask, baada ya shambulio walikimbilia majumbani mwao ndiyo maana hawakuonekana kupita getini, CCM wanaihujumu chadema kwa kila hali hilo halina ubishiyaani cdm bana, yaani kila event mnasema ni ccm? yaani hata mzee wa konyagi isingejulikana ameanguka kwenye ngazi mngesema ccm! sku mkiweza kujenga hoja zenye mashiko nadhan ndo mtaanza kukaribia kushika nchi ila kwa saaahv hawa waliopo izi akili znatengenezwa sehem moja tu
Aliyetunga hiyo story ana hali mbaya huko Kilombero. Wajumbe wenu hadi kwenye udiwani wamempa kura 5. Endelea kuamini story ambazo waliozitunga Mungu ameshawaadhibu.yaani cdm bana, yaani kila event mnasema ni ccm? yaani hata mzee wa konyagi isingejulikana ameanguka kwenye ngazi mngesema ccm! sku mkiweza kujenga hoja zenye mashiko nadhan ndo mtaanza kukaribia kushika nchi ila kwa saaahv hawa waliopo izi akili znatengenezwa sehem moja tu
Jiwe alikiri hadharani yeye ni kichaaBangi mbaya sana!! yaani hapo una raaaaha moyoni ukiamini ipo siku kichaa atakuja kuwa Rais wa nchi!! ha ha ha ha!!
Aliyetunga hiyo story ana hali mbaya huko Kilombero. Wajumbe wenu hadi kwenye udiwani wamempa kura 5. Endelea kuamini story ambazo waliozitunga Mungu ameshawaadhibu.
Mbowe alipigwa na Lijuakali akiwa na Msukuma walivaa mask, baada ya shambulio walikimbilia majumbani mwao ndiyo maana hawakuonekana kupita getini, CCM wanaihujumu chadema kwa kila hali hilo halina ubishi