JF Noma Saa 23:24Hrs East africa

JF Noma Saa 23:24Hrs East africa

wifi yangu huyo.
Msalimie Shem langu la Ukwenhe, watu8.
Mwambie nampa salamu ya mbali.

Shem nami nazipokea zako salamu kwa viganja viwili...mzima weye lakini?
 
Last edited by a moderator:
Members zaidi ya 100000. Ignore opinion ya wana JF at your on peril ni zaidi ya opinion polls ambazo typical sample size haizidi 1000. Latest consensus JF- bunge linaendeshwa kipuuzi.
 
Ntaziamsha nikifika mwanza....JF Mwanza oyeeeee....Mko wangapi mwanza...

Hoyeeeee!!!! Tupo kama sita hivi tunaofahamiana ila kuna ma-invisible kibao....

Ndo uzilete nkusaidie kuziamsha.... :smile: :smile:
 
Back
Top Bottom