CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mi siku hzi imekuwa km chakula, nikikosa JF nasikia njaa.
Wewe siumelala sasa mbona unaonekana online?mhm na wasiwasi.......baada ya haftime watu wanarukia smartphone kama kawa...
Cc; Madame B, Jesca, amu, Zion Daughter
Mimi nililala fofofo ndo kwanza naamka
Muone kwanza... ulipoamka hata hujapiga mswaki break ya kwanza JF kha..... Kumbe tupo wengi!!!!!
Umejuaje kaka.. yan unapiga bao moja thn unarudi JF kupumzika...
Yan acha bidada.... Hadi najichukia nilivyo - addicted na JF!!?
Ha ha ha..mateja wa jf utawajua tu.
daddy anakuangalia tu!!!
"Nimekuwa teja.. teja wa JF".....