Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Serious niliijibu comment yake ila nilipo icheki lazima ningeondoka na ban na mimi huu uzi wa best Demiss sitaki kukosa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama jf hujaijua kumbe, hizo ni mbinu tu za kukutoa kwenye reli. Just chilax, as long as nae yupo hapa basi ujue amesoma comments zooote. Hivyo huu ujumbe wake nae unamuhusu. Akaribie tu chamani tule ubuyu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…