Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Jf nzito hii: Hatimaye yule member maarufu kapotea kama upepo chiii!

Demiss fanya mpango baadae nikupeleke lachaz tukapate moja moto moja barid bila kusahau nyama choma ☺
 
Basi nikadhani mimi ni mwenyeji JF, kumbe ndio kwanza hata mtaa wa pili sijafika!

Kazi kweli kweli.

- KANA -
 
Back
Top Bottom