Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Nitakufungulia wewe mhenga una heshima yako nipo tayar nikupe mahaba buree na code nikufungulie utoke huko chumban
Sent using Jamii Forums mobile app
That's y I love you!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakufungulia wewe mhenga una heshima yako nipo tayar nikupe mahaba buree na code nikufungulie utoke huko chumban
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifungulie na mimi hiyo code hivi inawezekana vipi kidume anafungua code mimi mwanamke nishindwe haiwezekani 😩😩😩Nshamaliza mie, na hii ni kwa "hisani ya watu wa marekani"
cc:......
Mtu mzima haogopi kutongozwa kwani kukataa si kupo jamani hahahahaAu uliogopa utamu wa maneno yangu?kwamba tungeenda kwny tongozo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Lamba lolooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naponda jiran ila ukipita Dom usiwe unaacha kunipa lift napenda magar mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss nitabaki kuwa juu mawinguniHahahahaahahahah. Umechelewa kidogo tu, Truth Teller niaje mwana?? Mara paaap unakula Ban.
Ntamleta shuhuda
Yaani yule Sijui alikua anajikutaga nani yaani daaah utadhani yeye pekee ndiye mwenye akili jf nzima mweeeeehLamba lolooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa best
Mtu mzima haogopi kutongozwa kwani kukataa si kupo jamani hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
HihihihihihihihHaya bana vizuri,Ila unafaa chumbiwa Sasa.Ngoja niongee na dada Demi anichombezee kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nlishamaliza zamanii
Yaani yule Sijui alikua anajikutaga nani yaani daaah utadhani yeye pekee ndiye mwenye akili jf nzima mweeeeeh
Sent using Jamii Forums mobile app