Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #181
Karibu mkuu.Nitakuwepo tafadhali
KaribuMim pia ntakuwepo
Yes ila kwa jina utakalochagua wewe kutambulika nalo. Kama utatumia ID yako ya humu sio mbaya pia na sie tukamjua AllencyJe tutapata wasaha wa kujitbulisha?
Hili Ndo LA msingiJaman toeni michango
Acheni maneno mengi.
Kwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbayaJe siku hiyo tukija kuna kutambuana kwa ID's Zetu?