JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Nitakuwepo tafadhali
Karibu mkuu.
Mim pia ntakuwepo
Karibu
Je tutapata wasaha wa kujitbulisha?
Yes ila kwa jina utakalochagua wewe kutambulika nalo. Kama utatumia ID yako ya humu sio mbaya pia na sie tukamjua Allency
Jaman toeni michango
Acheni maneno mengi.
Hili Ndo LA msingi
Je siku hiyo tukija kuna kutambuana kwa ID's Zetu?
Kwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbaya
 
*Bigurube ni jina langu so nitatumia tu hilo....hivi naruhusiwa kuja na mchepuko wangu wa hapa JF?[emoji16]
Karibu mkuu.KaribuYes ila kwa jina utakalochagua wewe kutambulika nalo. Kama utatumia ID yako ya humu sio mbaya pia na sie tukamjua AllencyHili Ndo LA msingi Kwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbaya
 
Back
Top Bottom