Karibu mkuu.Nitakuwepo tafadhali
KaribuMim pia ntakuwepo
Yes ila kwa jina utakalochagua wewe kutambulika nalo. Kama utatumia ID yako ya humu sio mbaya pia na sie tukamjua AllencyJe tutapata wasaha wa kujitbulisha?
Hili Ndo LA msingiJaman toeni michango
Acheni maneno mengi.
Kwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbayaJe siku hiyo tukija kuna kutambuana kwa ID's Zetu?
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwanini?...mi ntalewa na kukata mauno ya kufa mtu
Kujitbulisha ndo nini?...mmh!Je tutapata wasaha wa kujitbulisha?
Wengine Tumeishia Darasa la Tano, Hatuifahamu KizunguKwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbaya
Ha ha ha...kweli tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Ufanye ku moderate usije kuumiza watoto wa watu.Ha ha ha...kweli tena
Hakuna cha kumoderate ni full kujiachia atakayeumia akwendreeUfanye ku moderate usije kuumiza watoto wa watu.
Sio tabia nzuri lakini, utawaacha wenzio umeshawafanyia maudhi ya kihisia jambo ambalo ni kosa kisheria. [emoji16][emoji16]Hakuna cha kumoderate ni full kujiachia atakayeumia akwendree
Haahaa..watajijuSio tabia nzuri lakini, utawaacha wenzio umeshawafanyia maudhi ya kihisia jambo ambalo ni kosa kisheria. [emoji16][emoji16]
Asante, Naomba Namba zako Tuwasiliane Moja kwa MojaPole
Ze dudu ameniambia siku hiyo hakutakuwa na maji (anamaanisha ya kunywa [emoji23][emoji23]) ndo nikamjibu sitakunywa maji ntakunywa vingineKwanini?...mi ntalewa na kukata mauno ya kufa mtu
I was joking just to feel the space. Hahaha.Utachagua wewe unataka tukujue vipi kuwa ulichangia. Wengine hawajataja kabisa Id zao.
Karibu mkuu.KaribuYes ila kwa jina utakalochagua wewe kutambulika nalo. Kama utatumia ID yako ya humu sio mbaya pia na sie tukamjua AllencyHili Ndo LA msingi Kwanini tutumie ID? Kama utataka kutambulika kwa kutumia ID yako si mbaya
We chalii ya araa nini??...#kuprintHapo ukifika hata Mwenge ukiprint moko moko ni dakika 37 mwendo wa kidosi, ukipiga mwendo wa ngiri hata robo saa nyingi.
Ahsante ShuniePole sana