JF Party Jumamosi 15/12/2018

Namshukuru Allah job inaenda poaaa, sijui kwako?
nadhani leo utakuwa uko effective no uchovuπŸ˜›πŸ˜›
Huku salama Mkuu. Hahahaaa Na kweli Mkuu jumatatu na jumanne ziko tofauti ujue yaani leo mwili uko na nguvu tu.
 
Huku salama Mkuu. Hahahaaa Na kweli Mkuu jumatatu na jumanne ziko tofauti ujue yaani leo mwili uko na nguvu tu.
H ah haaaaaaaa
unaweza kujikuta unabeba trekta kwa nguvu ulizonazo leo eeeeeh! Haya poa Mkuu kazi njema ngojea tumalizie viporo ili siku ya leo iingie kwenye count( mkeka wa payroll)πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
H ah haaaaaaaa
unaweza kujikuta unabeba trekta kwa nguvu ulizonazo leo eeeeeh! Haya poa Mkuu kazi njema ngojea tumalizie viporo ili siku ya leo iingie kwenye count( mkeka wa payroll)πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaaaa. Ndio aiseeeee. 😜😜

Na kwako pia Mkuu. Hahahaaa. Malizia aiseee maana mwezi tushaugawa huu.
 
Hahahaaaa. Ndio aiseeeee. 😜😜

Na kwako pia Mkuu. Hahahaaa. Malizia aiseee maana mwezi tushaugawa huu.
Ni kweli Mkuu ukisheza unaweza kukuata kakuwekea siku pungufuuuuu unatoa machoooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nice moment Mkuu
 
Mm nlishawaambia humu watu maneno tu,wote waliosema watakuja kwny ule uzi na huu wanazidi hata 100 lkn subiri siku ya tukio ndio utashangaa...
 
MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sijui umewaza nini mkuu....dah!
 
Mm nlishawaambia humu watu maneno tu,wote waliosema watakuja kwny ule uzi na huu wanazidi hata 100 lkn subiri siku ya tukio ndio utashangaa...
Wanachanga lakini.. Hilo Ndo LA msingi. Hata sisi hatutegemei Kama tutafika 100. Wakifikia idadi ya venue yetu tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…