Siku hizi saa mbili nafika saa sita.. Hata harusini nachelewa masuala ya kua mpenzi msubiriaji hapana...!!!Mm najua inaanza saa mbili uko
Siku hizi saa mbili nafika saa sita.. Hata harusini nachelewa masuala ya kua mpenzi msubiriaji hapana...!!!
Hahaaa....!!!saa mbili shunie weye utafika saa NNE paleHaya mama fika saa tisa
Najarbu kuwaza tu ndan ya party Mara ONTARIO uyu apaHabari zenu wana JF.
Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana na venue tuliyoichagua.
Hivyo nawakumbusha wale wote wenye nia ya kushiriki nasi siku ya jumamosi tarehe 15/12/ 2018 African House Lounge kuchanga mapema ili tujue Kama tunachange venue au tunaendelea hapo hapo kutokana na idadi ya watu.
Mchango ni shilingi 30,000/=
Mchango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba zifuatazo;
Tigo-pesa.
0716-394882 jina May
NA
M-Pesa
0756-986874 jina Mwanahawa Hassan
Kwa maelezo zaidi kuhusu Party pitia hapa kuna kila kitu JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Hahahahahaaa.. Unataka umdai Ontario hela yako ya training ya forex nini??Najarbu kuwaza tu ndan ya party Mara ONTARIO uyu apa
mzee baba MSHANA JR atakua katka mavaz gan
MZIZ MKAVU NA MBAO ZA MAWE
HAJAR akiwepo na mm ndan, unajua aya mambo lazma uwe na wakumshka shka mbavu
Acha tu bado nawaza hii party sio ya kukosa ila napendekeza lugha ya jf iamie ukoHahahahahaaa.. Unataka umdai Ontario hela yako ya training ya forex nini??
Dogo huna shukrani si nimekulipiaNitakuwepo kwa udhamini was my big mum, Le madre B
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahahahaaa.. Unataka umdai Ontario hela yako ya training ya forex nini??
Hajatoa badodark angel kashatoa?
Nilihaidi kumtolea
π³π³π³π³π³π³π€π€π€π€π€Gahawa itakuwepo. Ukivaa msuli usisahau pensi usijekutuonesha vitu vya ajabu msuli ukianguka
Mkuu vipi?Niliwaomba mods wafunge ule uzi, na bahati nzuri ni wasikivu wakaufunga.
Unajua yale ma sms yake ndio nilikuwa siyaelewi.
Enewei tuachane naye, tusiharibu uzi wetu wa sherehe.
Naomba Hance Mtanashati akichangia Mzigua90 uniambie nina shida nayeπππ
Hahahaahaaaa.. We mkorofi eeh. Hance hataki kabisa kusikia hii kitu
Unawasiwasi wa bure tu lakini. Unadhani mods wako tayari watu waandae party kwa jina LA forum yao bila kuwa na taarifa? Kuona tu hizi nyuzi za party ulitakiwa ujiongeze kaka angu kuwa kuna baraka za uongozi.Ninaweza nikashiriki kama moderators wakija kuthibitisha uhalali wa hii sherehe.