JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Habari zenu wana JF.

Nimeweka huu Uzi kuwakumbushia siku zinazidi kuyoyoma na michango inasua sua.
Mpaka sasa tumepokea michango ya members 21 na sisi lengo letu ilikua watu 50 at least kutokana na venue tuliyoichagua.
Hivyo nawakumbusha wale wote wenye nia ya kushiriki nasi siku ya jumamosi tarehe 15/12/ 2018 African House Lounge kuchanga mapema ili tujue Kama tunachange venue au tunaendelea hapo hapo kutokana na idadi ya watu.


Mchango ni shilingi 30,000/=
Mchango kwa ajili ya party hiyo itumwe kwenye namba zifuatazo;
Tigo-pesa.
0716-394882 jina May
NA
M-Pesa
0756-986874 jina Mwanahawa Hassan

Kwa maelezo zaidi kuhusu Party pitia hapa kuna kila kitu JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Najarbu kuwaza tu ndan ya party Mara ONTARIO uyu apa
mzee baba MSHANA JR atakua katka mavaz gan
MZIZ MKAVU NA MBAO ZA MAWE

HAJAR akiwepo na mm ndan, unajua aya mambo lazma uwe na wakumshka shka mbavu
 
Ninaweza nikashiriki kama moderators wakija kuthibitisha uhalali wa hii sherehe.
Unawasiwasi wa bure tu lakini. Unadhani mods wako tayari watu waandae party kwa jina LA forum yao bila kuwa na taarifa? Kuona tu hizi nyuzi za party ulitakiwa ujiongeze kaka angu kuwa kuna baraka za uongozi.
Tunakukaribisha
 
Back
Top Bottom