Umepona mkuu?sI BORA KILA ENEO WAANDAE MAMBO YAO ILA SIKU IWE MOJA?
Kwa walioko Mwanza napndekeza siku hiyo tukutane Nyuma ya Rock beach ni sehemu nzuri sana yenye mandhali hasilia. Jana nilikaa pale na familia hadi baby wangu ananuliza .. mbona kama yuko tofauti na Mwanza.
Mkuu yote yanawezekana. Ni watu kuorganize tu. Tena itakua bomba hatari ingekua kila mkoa wanaandaa siku moja.sI BORA KILA ENEO WAANDAE MAMBO YAO ILA SIKU IWE MOJA?
Kwa walioko Mwanza napndekeza siku hiyo tukutane Nyuma ya Rock beach ni sehemu nzuri sana yenye mandhali hasilia. Jana nilikaa pale na familia hadi baby wangu ananuliza .. mbona kama yuko tofauti na Mwanza.
Mkuu usiseme hivyo kwani MO unalijua kosa lake??Hakuna wa kukudaka bana kwa kipi? Umekuwa MO[emoji15]
African House Lounge block 41. Haiko mbali na Best Bite
Na mie nimeshtuka kumuona Ujue. Itakuwa ameshapona sasa.Umepona mkuu?
LocationSisi wa mikoani hatujui location sahihi hebu tuambie iko Osterbay, Ilala, Masaki au Kinondoni.
Hapo ukifika hata Mwenge ukiprint moko moko ni dakika 37 mwendo wa kidosi, ukipiga mwendo wa ngiri hata robo saa nyingi.
sI BORA KILA ENEO WAANDAE MAMBO YAO ILA SIKU IWE MOJA?
Kwa walioko Mwanza napndekeza siku hiyo tukutane Nyuma ya Rock beach ni sehemu nzuri sana yenye mandhali hasilia. Jana nilikaa pale na familia hadi baby wangu ananuliza .. mbona kama yuko tofauti na Mwanza.
Umepona mkuu?
ππππNa mie nimeshtuka kumuona Ujue. Itakuwa ameshapona sasa.
Ukisoma huo uzi the hype ni kubwa sielewi kwanini wachangiaji wanasuasua.
This should tell "us" kwamba asilimiakubwa ya watu wa JF pang'ang'a nyingi sana.
Naamini bado kuna wale wazee wa "Deadline", hadi siku ikaribie, zile purukushani ndo hao fastaaaa. Wataongezeka tuHata mie sielewi tatizo ni nini.. Sidhani huo upang'ang'a labda wanataka kujua nani na nani atakuwepo. Si unajua wakati mwingine MTU anahamasika akiona Fulani yupo..
Labda ngoja atujibu[emoji15]Na mie nimeshtuka kumuona Ujue. Itakuwa ameshapona sasa.
[emoji15] [emoji15]ππππ
Kama itakua ni siku ya birthday yako na ukiwa tayari tutakujia na cake mkuuHii nafasi siwezi kuikosa. Kwanza itakuwa nafasi nzuri ya kusheherekea birthday yangu.
Pili nadhani nikikutana na Mods nikawaelezea mipango mkakati yangu naweza kula shavu la kuwa Mod humu JF.
Mtanikomaje wazee wa facebook.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (natania tu)
Hapo ukifika hata Mwenge ukiprint moko moko ni dakika 37 mwendo wa kidosi, ukipiga mwendo wa ngiri hata robo saa nyingi.
Wit acha tu nicheke, maana kwanza alinifanya nikaambulia matusi ya kila aina. eti siku 90 hatakiw kuongea na simu, halafu kesho yake yuko jukwaaani anatukanana na member!!![emoji15] [emoji15]