Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
sI BORA KILA ENEO WAANDAE MAMBO YAO ILA SIKU IWE MOJA?
Kwa walioko Mwanza napndekeza siku hiyo tukutane Nyuma ya Rock beach ni sehemu nzuri sana yenye mandhali hasilia. Jana nilikaa pale na familia hadi baby wangu ananuliza .. mbona kama yuko tofauti na Mwanza.