Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Dooh.. Nimepitwa hapoKuna clip moja ya jamaa wa Arusha alihojiwa BSS ndo alitumia hiyo misamiati ya chaliifrancisco.
Iko kwa Millardayo.
Niliona ule uzi wake.hahahahahahaHahahaahaaaa.. We mkorofi eeh. Hance hataki kabisa kusikia hii kitu
Usihofu ukikutana na hizo maneno za kingaleloo nipo hapa urban dictionary kwaajili ya kutafsiriDooh.. Nimepitwa hapo
Anaitwa Papaa Mafido.. Ndio yule jamaa wa "Hapa nimevaa ka laki tatu, hii sio swaga, swaga ni bongo, hii ni old skul"View attachment 898842
Na kweli ni mda sana asee huwa anashiriki kila mwaka mpaka anaifata DarJamaa amasema yeye ndo CEO wa BSS...
Na kweli ni mda sana asee huwa anashiriki kila mwaka mpaka anaifata Dar
Naamini bado kuna wale wazee wa "Deadline", hadi siku ikaribie, zile purukushani ndo hao fastaaaa. Wataongezeka tu
helo, utakuja?
50/50 aisee, sina uhakika sana na huo mwezi
Watu wanaogopa kujulikana etiUkisoma huo uzi the hype ni kubwa sielewi kwanini wachangiaji wanasuasua.
This should tell "us" kwamba asilimiakubwa ya watu wa JF pang'ang'a nyingi sana.
Toa mchango sasaHii nafasi siwezi kuikosa. Kwanza itakuwa nafasi nzuri ya kusheherekea birthday yangu.
Pili nadhani nikikutana na Mods nikawaelezea mipango mkakati yangu naweza kula shavu la kuwa Mod humu JF.
Mtanikomaje wazee wa facebook.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (natania tu)
Wazee wa last minuteNaamini bado kuna wale wazee wa "Deadline", hadi siku ikaribie, zile purukushani ndo hao fastaaaa. Wataongezeka tu
Niongezee kidogo rafiki [emoji53]Toa mchango sasa
Huogopi kujulikana [emoji23][emoji23]Niongezee kidogo rafiki [emoji53]
Ukinifahamu wewe tu inatosha.. Siku hiyo tunajifanya hatujuani [emoji23]Huogopi kujulikana [emoji23][emoji23]