Sasa sijui kwa nn hawachangi, au mifuko empty
Je, nikichanga mnaniuliza ID yangu au nakuja tu? Naogopa kukolimbwa. Wengi humu wenye ID zao ni wale wang'oa kucha. Ulinzi kwanza wengine tuna wajukuu wadogo wasijekua bila kufahamu bibi zao. Eboo.Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyo
Wit acha tu nicheke, maana kwanza alinifanya nikaambulia matusi ya kila aina. eti siku 90 hatakiw kuongea na simu, halafu kesho yake yuko jukwaaani anatukanana na member!!!
Watu wanaogopa kujulikana eti
HahahaParty ya watu wazima sio komunio ya kwanza. Usiku.
Mkwe nimekumiss sana mkwe wanguSasa wanamuogopa nani
Nimekusoma mkuuUkiamua kujitambulisha Chalii au ukitumie lile official maamuzi ni yako
Wazee wa buku saba si wazee wa kitengo? Wasije kutung'oa kucha.Sasa wanamuogopa nani
Mkwe nimekumiss sana mkwe wangu
Wazee wa buku saba si wazee wa kitengo? Wasije kutung'oa kucha.
Kuanzia SAA Tisa mama
Member wa jf ni watu wasiojulikana.Ukisoma huo uzi the hype ni kubwa sielewi kwanini wachangiaji wanasuasua.
This should tell "us" kwamba asilimiakubwa ya watu wa JF pang'ang'a nyingi sana.
Mi siogopi mtu bwana. Nimesema hofu ya wengi ndio wanavyojishtukia.Utajulikana vipi na haujitambulishi ukifika kama unaitwa chalii labda kama unataka kujitambulisha mwenyewe sawa