JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Kwa mbaaaali
Nawaona [emoji41] wanajf mkichochea kuni kwa ajil ya kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.

Kwa debe hili,
Ni lazima kuna abiria watanasa tu.[emoji12]
 
Hahahaha. Mods watakuwepo mkuu. Ofisi ya JF itashiriki nasi siku hiyo. Nadhani kutakuwepo na nafasi ya kufikisha mawazo na kero zetu kwa uongozi wa JF live siku hiyo
Je, nikichanga mnaniuliza ID yangu au nakuja tu? Naogopa kukolimbwa. Wengi humu wenye ID zao ni wale wang'oa kucha. Ulinzi kwanza wengine tuna wajukuu wadogo wasijekua bila kufahamu bibi zao. Eboo.
 
Mtoa mada,
Vipi Hiyo party ushaombea kibali cha mikusanyiko ya usiku kutoka kwa Mambosasa?

Bila hivo Mtu Unaweza jikuta Chai ya asubuh inakukuta CENTRAL.
 
Utajulikana vipi na haujitambulishi ukifika kama unaitwa chalii labda kama unataka kujitambulisha mwenyewe sawa
Mi siogopi mtu bwana. Nimesema hofu ya wengi ndio wanavyojishtukia.

Mimi sana sana naona aibu tu, mfano Shunie unijue mimi ndio unaniona utasema "huyu chalii ndio anaandikaga pumba vile JF?"
 
Back
Top Bottom