Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechelewa.😱😱 nichangie basi na Mimi nikashangae.
Haya bna.Umechelewa.
Sasa sijui kwa nn hawachangi, au mifuko emptyMbona inawezekana sana tu kubaki Anonymous.
Sawa madam!Zimebaki nafasi 30 pekee + nafasi 12 special zinabaki 18.
Ni heri kutoa mapema kuepuka kukosa nafasi
Nilisikia wanaume wa Dar tu ndio huwa wanaandika hivi, kumbe hata wa mkoani?!!Vp kuusu cc wa mkoani...mfano mm napatikana uku kitombeine nawezajichanganya kweli??[emoji52][emoji53][emoji52]
Wewe umechanga?Sasa sijui kwa nn hawachangi, au mifuko empty
Okay...karibu sana mkuuSawa madam!
Chakula kwanza vinywaji viwe mwishoni, maana party zngne unakuta vinywaji mwanzo unakunywa unavimbiwa unashndwa kula msosi[emoji3] [emoji3]Okay...karibu sana mkuu
Soon ratiba ya chakula na vinywaji itatoka.
Mie badoWewe umechanga?
Utachanga?Mie bado
Wewe utaudhuria? WASIOJULIKANA wasije kutusomba bureeeeNa mie nimeshtuka kumuona Ujue. Itakuwa ameshapona sasa.
Hapana. Hahahaaa. Kama mie sio rahisi sababu zile nyuzi zenye chembechembe ya uchokozi kwa wasiojulikana huwa napita nazo kimya kimya yaani sijawahi tia neno.Mkuu
Wewe utaudhuria? WASIOJULIKANA wasije kutusomba bureeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chura zitakuwepo zakutosha nimeshapata confirmation kutoka kwa event organizers. [emoji3][emoji3]
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaHapana. Hahahaaa. Kama mie sio rahisi sababu zile nyuzi zenye chembechembe ya uchokozi kwa wasiojulikana huwa napita nazo kimya kimya yaani sijawahi tia neno.
Mzima lakini?
Mimi ni mtaalam wa tabia, namjua kila mtu humu vizuri sana mkuu!
Sasa nimempasua kichwa nani?Mimi ni mtaalam wa tabia, namjua kila mtu humu vizuri sana mkuu!