JF Party Jumamosi 15/12/2018

JF Party Jumamosi 15/12/2018

Je, nikichanga mnaniuliza ID yangu au nakuja tu? Naogopa kukolimbwa. Wengi humu wenye ID zao ni wale wang'oa kucha. Ulinzi kwanza wengine tuna wajukuu wadogo wasijekua bila kufahamu bibi zao. Eboo.
Utachagua wewe unataka tukujue vipi kuwa ulichangia. Wengine hawajataja kabisa Id zao.
 
Back
Top Bottom