Isn't that too many?Nyumba sasa inapendeza watu wachache kama 20-30 hivii..
fanya juu chini nitembelee kwa namna yoyote, hii ni aibu yangu kama kweli ndivyo ilivyoTuma leo basi mke hana hela..
Hapa km umesoma mchezo ndio ushaanza maandalizi hivyo ,unda kamati yako ndogo ,mjipange ,mje kudondosha Uzi rasmi sasa wa siku ya tukio ,sie wa porini tusubiri ripoti tuMaana yake maandalizi yaanze sasa hivi si ndio?
Usinywe hard beverages kama hizo unazozisema sijui jack Daniel... Kunywa vitu soft! Savannah, Windhoek/ heneiken, sweet wines etc...Nisipolewa ntakua kama fala.. ntakunywa kwa adabu
Embu sema utavaa nini siku hiyo,nianze kujiandaa kisaikolojia maake ulisema unachura ya tumbo.Mkuu dera kwani naenda kwenye baikoko?
Ndio nzuri zaidiNyumba sasa inapendeza watu wachache kama 20-30 hivii..
hilo ndilo swali la msingi, nikutumie je mpenzi?Nikutembelee wapi?
mkitaka hii getugedha iwe tamu mchango uwe 100k, papatikane mahali tulivu na maridhawa, pia isizidi watu 50, oooh itanoogaBia stakii. Wine sawa
wewe hata kama una mimba sitajali, nafurahisha nafsi yangu kupata kilicho bora[emoji23] [emoji23]Hot pant na off shoulder kitambi nakificha kabisa..