Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Unapenda sana vacation eehh chake[emoji4]??
Sana tu Rafiki, chache nilizoenda ,zimenifanya nipende zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda sana vacation eehh chake[emoji4]??
Hata mm napenda mnooo...[emoji4]Sana tu Rafiki, chache nilizoenda ,zimenifanya nipende zaidi
Nashangaa nyie wasasa mnashindwa,au ndio mnaanza na hii?Walikua wanaishi vizuri sana hawa
Nadhani hapa siongezi kituRaha ya vacation uende na bby ndo inanoga bwana.
Safi SanaHata mm napenda mnooo...[emoji4]
Eti mtawapunja.....ila elfu 10 ni ndogo hata kwa venue sidhani kama inatosha.Kwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywaji
Tutakutana Simiyu kwa Mtaka - mkuu wa mkoa bora Tanzania.Makutano Dodoma
AiseeeJamaniiiiii nlichelewa wapiiiiiii....naomba iwe disemba pllzz...kuna watu nawahaamm kufanya nao chiazzz jomoniii[emoji28]
December Saadan national park ,si mbali toka Dar napapigia hesabuHata mm napenda mnooo...[emoji4]
Hata ww natamani kugongesha glasi nawe..ili niisikie vzr hiyo "aisee" yako[emoji4]Aiseee
Vzr zamu yenu ,vijanaTunaanza na hii kwanza
Ukitoka huko upitie na kisiwa cha mbudya,..December Saadan national park ,si mbali toka Dar napapigia hesabu
Dry tena?Red ....hulewi?[emoji15]Yeyote dry red
Utakuja my?Eti mtawapunja.....ila elfu 10 ni ndogo hata kwa venue sidhani kama inatosha.