witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yes atenge mda wa makusanyo let say two months from now ....mambo yatajipa tuu50k INA sound vzr ,na inakua ki JF zaidi ,halafu akiweka muda mbn inapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes atenge mda wa makusanyo let say two months from now ....mambo yatajipa tuu50k INA sound vzr ,na inakua ki JF zaidi ,halafu akiweka muda mbn inapatikana?
Mimi kukiwa na mziki mkubwa wa hivyo itabidi nijikabidhi kwa mtu kabisa aniangalie unywaji wangu awe ananikataza. Mziki sio rafiki sana kwangu nikiwa na kunywa maana ntatoa mauno yote mpaka ya chumbaniUko kama Mimi...mziki mkuubwa, shusha vitu kwenye koo!
ni fursa ya mimi na wewe kukutana na kupanga ile mipango tuliogusia juziNimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Weekend maybe naweza kuku PM white...Sijaenda muda kweli pale. Na Heineken zangu ukanizima nakuchek tuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] aseee.....mbona ntajionea kituko siku hiyo?Mimi kukiwa na mziki mkubwa wa hivyo itabidi nijikabidhi kwa mtu kabisa aniangalie unywaji wangu awe ananikataza. Mziki sio rafiki sana kwangu nikiwa na kunywa maana ntatoa mauno yote mpaka ya chumbani
Hii ya ktk NYUMBA utanipata kilaini mno,na baadhi ya gharama nitasimamia showTunaandaa watu wasipoonyesha mwamko tunajibena tuliokuwepo tunatafuta hata nyumba tunaandaa bbq na swimming. Tuhakikishe makutano yanawezekana
Yeah..Maana yake maandalizi yaanze sasa hivi si ndio?
kila kitu mume nafanya, hata kesho we sema tu nitumeNa kiingilio unilipie basi boo
Hahahahahaa.. siku hiyo ntakua nakunywa maji na juice nisimisbehave[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] aseee.....mbona ntajionea kituko siku hiyo?
Hata usipojitambulisha nishakujua! Nikiona demu anakata mauno ya kihasara hasara siku hiyo najua ni wewe japo sikujui[emoji23]
Aaaah lewa bana kwani sh ngapi....ukikata mauno si yako ili mradi usivunje sheriaHahahahahaa.. siku hiyo ntakua nakunywa maji na juice nisimisbehave