JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Sounds good..idea nzuri,,JF mtu anashinda chitchat na anajikuta na yeye anaweza kutafutwa na wasiojulikana..kwa lipi??

Mchango utolewe ambao utakujumuisha gharama za venue,chakula,na drinks..then kama kuna mtu atataka huduma zaidi atatoa hela yake mfukoni..
 
Good. Waliohudhuria za mwanzo pia wamesuggest hivi..
 
Back
Top Bottom