[emoji23] [emoji23] [emoji23] Inabidi twende kujifunza mengi kwake na kumpongeza piaUmenikumbusha discussion mojana rafiki zangu tulipanga kwenda kutembea kanda ya ziwa halafu tunaenda na kwa Mtaka.
Khaa! Chupa mbili naeza kwa sweet wine tena white..ila dry afuu red nazima zii[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]Silewi labda chupa mbili..
Ngoja nione itakua tarehe ngapi dear, ikiwa tarehe ambayo nipo free nitakuja.Utakuja my?
This time around iwe mchana, twendeni beach kali kaliiii.
Jitahidi bana...maisha ndo haya haya hakuna mengine!Ngoja nione itakua tarehe ngapi dear, ikiwa tarehe ambayo nipo free nitakuja.
Basi tufanye ya kwetu tu
Mbudya,bongoyo na sunda tayariUkitoka huko upitie na kisiwa cha mbudya,..
Tumetofautiana asee...wine nayokunywa kavu ni freixenet tuu, tena glass moja na yenyewe nazimaga kwa muda[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa.. sweet lazima niweke maji la sivyo ntasikia kichefu chefu
Nataka kukutana na wwNimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Sawa dear nitajitahidi.Jitahidi bana...maisha ndo haya haya hakuna mengine!
[emoji122][emoji122]Mbudya,bongoyo na sunda tayari
Wewee lionjage hilo dude!.. sparkling wine alc content 60% huko!....kwangu ile kiboko yangu!Glass moja unazima? pole sana
Karibuni kilingeni Msata, sina noma sina shobo sina maringoNimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Usipokuja na mimi siendi[emoji23] [emoji23]Sawa dear nitajitahidi.