JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Hahahahaaa.. sweet lazima niweke maji la sivyo ntasikia kichefu chefu
Tumetofautiana asee...wine nayokunywa kavu ni freixenet tuu, tena glass moja na yenyewe nazimaga kwa muda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Nataka kukutana na ww
 
Karibuni kilingeni Msata, sina noma sina shobo sina maringo
 
Back
Top Bottom