Hutaki kugandana[emoji23] [emoji23]Akhuuu nitajilipia.
Ya ilala mchikichiniHatutumii hizo nyingine mkuu
Kwanza sipendi issue za ofa huwa sijui naonaje.Hutaki kugandana[emoji23] [emoji23]
Uko kama mimi labda kama tumeshibana au nakujua kindaki ndaki!Kwanza sipendi issue za ofa huwa sijui naonaje.
Vya kwangu atakunywa witty kwa niaba.[emoji3]
Asee offer hapana!Vya kwangu atakunywa witty kwa niaba.[emoji3]
Unadhani uoga basi tu sipendi.Acha uoga wewe.
Kitambi, hangover ya jehanam, harufu mbaya mdomoni, na lile povuuu daaah!....mi hapana aseeZinaumiza tumbo..
Kabisa yaani!!Uko kama mimi labda kama tumeshibana au nakujua kindaki ndaki!
Lkn hivi eti jf party mara offer mweeh! Sitaki
Najua ndio maana nimewaambia mapema, wasije na vi elf 25 vyao wakijua watatesa,kumbe hy chupa moja tu ya mvinyoHatutumii hizo nyingine mkuu
Ananisukumizia mie[emoji23] [emoji23]Hahahahaha
[emoji23][emoji23]Ndo yale ya umekunywa vyangu nilipe kumbe hujaomba hata