JF Party On My Mind

Uogopi kunywa huku una kijacho?

Mimi siwezi aisee hata wakati wa kunyonyesha naogopa naona kama inapitiliza kwa mwanangu[emoji23][emoji23]
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa sauti mkuu
Mkuu hyo ndio ukweli, kuna watu watazimia kwa aibu humu.
 
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
Wewe unaweza?

Yes wapo nina rafiki yangu ni mnywaji... kesho anajifungua leo anakunywa basi nilikua naogopa utafikiri mimba nimebeba mimi.
 
Hahahahaaa.. nimepata picha ya msomali alokonda alivyo
 
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
sisi wengine pombe zipo damuni kabisa maana bi mkubwa anasema alikuwa anapiga sana kinywaji kipindi cha ujauzito na kunyonyesha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
acha tu yani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka wakaniuliza kwani ulikuwa chuo hapa downtown au ulienda kambi ya JKT [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…