witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!Uogopi kunywa huku una kijacho?
Mimi siwezi aisee hata wakati wa kunyonyesha naogopa naona kama inapitiliza kwa mwanangu[emoji23][emoji23]