JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Uogopi kunywa huku una kijacho?

Mimi siwezi aisee hata wakati wa kunyonyesha naogopa naona kama inapitiliza kwa mwanangu[emoji23][emoji23]
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
 
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
Wewe unaweza?

Yes wapo nina rafiki yangu ni mnywaji... kesho anajifungua leo anakunywa basi nilikua naogopa utafikiri mimba nimebeba mimi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha enzi nipo chuo ilikuwaga kilevi chochote napeleka as long as kimethibishwa na tbs nilikuwa mlevi hadi hostel wakanitunga jina la ritchot ..nilirudi home nimekonda kama msomali maana nilikuwa napiga vitu vikal alafu sili vizur
Hahahahaaa.. nimepata picha ya msomali alokonda alivyo
 
Wanawake wengi wamezoea.....hivi unafikiri kama ni mnywaji na kazoea akibeba ujauzito ndo ataacha? Wanapiga hata kama pia ananyonyesha!
sisi wengine pombe zipo damuni kabisa maana bi mkubwa anasema alikuwa anapiga sana kinywaji kipindi cha ujauzito na kunyonyesha 😂😂
 
Back
Top Bottom