JF Party On My Mind

Bia sio pombe mkuu. Tena safari zinaongeza damu sana kwa mjamzito. Toka nimeanza kuzinywa damu yangu haikuwahi kupungua. Wakati nilikua nakula matunga nakunywa rozela beetroot haipandi. Kunywa safari tu nikasahau shida za kuambiwa damu inapungua
Don't tell me huh?
 
yah hii ni kali kuliko hizi wines... ni jamii ya kina savanah sema yenyewe ni blue in colour na ipo katika chupa kubwa kama ya saint anne alafu ina ukali fulan hivi kwa mbaaaaali
Ukisema ni jamii ya savanna unamaanisha ni product ya Cider sio grapes?

Haina utamu utamu? Je bei yake?

Nataka niitest weekend hii[emoji15]
 
Bia sio pombe mkuu. Tena safari zinaongeza damu sana kwa mjamzito. Toka nimeanza kuzinywa damu yangu haikuwahi kupungua. Wakati nilikua nakula matunga nakunywa rozela beetroot haipandi. Kunywa safari tu nikasahau shida za kuambiwa damu inapungua
yah niliwahi kuambiwa bidhaa za TBL zinaongeza sana damu.... kuna mshkaji wangu alikuwaga na tatizo la damu nyingi hadi kichwa kinamuuma akawa akienda kutoa damu mwezi huu baada ya mwezi tu shughuli inarudi upya alivyoachaga kunywa bia akahamia kwenye pombe hadi leo tatzo halijarud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…