JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Hii mkipanga lazima nije...

Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.

Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.

Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.

Aiseeee.
 
Bia sio pombe mkuu. Tena safari zinaongeza damu sana kwa mjamzito. Toka nimeanza kuzinywa damu yangu haikuwahi kupungua. Wakati nilikua nakula matunga nakunywa rozela beetroot haipandi. Kunywa safari tu nikasahau shida za kuambiwa damu inapungua
Hivi kumbe bia sio pombe hii elimu naihitaji aise .
navyojua bia(bear) inatengezwa kwa ethanol ambayo ni alcohol ama pombe.
 
Pamoja na kwamba sipendi kujichanganya hila hii nitafika mapema sana.

Nitakutana na wanaonifahamu lakini nani anajua mm ni nani JF!! Akunaaa.

Nikimuona nifah wa the bold nitamjua tu ahaaa..

Ila lemutuz akijitokeza narudi home mda huo huo kulala.

Wazo zuri mzigua.
 
Ngoja tucheck mkuu kama ni ukumbi au wapi.
Ok,
Kama ni ukumbi nitawafanyia punguzo la 70% kwenye ukumbi, mtupe tenda ya chakula la vinywaji. Ni ukumbi matata kwa Dar, na ndo tunakimbiza kumbi zote za harusi.

Ila kama mtafanya ya kibabe flani hivi, mnazima pale Buckets au nextdoor, tunafanya mazambi ya kutoshaaa.
 
Waoow! Basi bia ina faida sasa....tena kwenye kitu sensitive kama damu!

Heko wanywaji wa maji ya rangi ya mende [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Mimi bia imenishindaa!!

Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.

Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.

Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.

Cider harufu ya Apple imenishindaa,

Liqueurs naona kama nadanganywa afu not naturals.

Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
 
Mimi bia imenishindaa!!

Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.

Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.

Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.

Cider harufu ya Apple imenishindaa,

Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!

Unakunywa capirinya??
 
Mimi bia imenishindaa!!

Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.

Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.

Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.

Cider harufu ya Apple imenishindaa,

Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Hii Party wanywa local bia watakua wachache ama wasiwepo kabisa
 
Weee mchanaga bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza umenituhumu then unauliza natumia pombe gani?[emoji15] [emoji15]

Haya nakunywa mbege!
Nauliza unakunya pombe gani nijue hiyo pombe ukiboko wake nini mpaka cocktail ishindwe kukupa stim??

Mi hata cocktail ya 100ml nasikia kizunguzungu!!
 
Back
Top Bottom